UWAJIBIKAJI: Mameya, watendaji wa serikali za mitaa hawana nia ya kutatua kero za wananchi, asema Waziri Mkuu M. Pinda katika mkutano wa 30 wa ALAT Tanga leo.
Watatatua kero zipi na kwa bajeti ipi? Tuache kuwabebesha watu mizigo wakati tatizo ni mfumo, sera zetu na vipaumbele vyetu.
Jana kulikuwa na malalamiko ya wananchi wa Mkoa wa Tabora mbele ya Kinana. Ni lipi ambalo alilitatua kama si kupiga siasa na kutoa ahadi ambazo anajua fika kuwa hatazitekeleza? Nchi hii bhana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.