Mkuu unajichosha bure, huyo hajui mpira kabisa. Kwanza kasema Mamelod kamfunga Kabylie. Watu wakamkosoa karudi na kauli kuwa ndio hao hao wanyonge. Kapewa fact kaanza kuhamisha magoli kwenye vikombe. Anapewa mfano wa Al Ahly kufungwa na hao hao Mamelod pamoja na kuwa na makombe. Ana hama tena mada kwa Belouizdad. Usipoteze muda wako bure huyo mpira analazimisha tu ila umemkalia kushoto kabisa. Kutaka tu naye aonekane anajuaDhana ulitumia kujenga hoja yako ndio nakupinga hiyo team haijafika hapo kwa bahati mbaya kijana sema wamekutana na team Bora zaidi so huwezi kusema ni team mbovu eti kwasababu imepigwa 4 mbona al ahly kala 5 na hao hao Mamelodi utasema al ahly ni team mbovu?
Simba alishafika nusu fainali na kuchukua kombe eti 😆😆😆😆😆😆Huyo mwarabu aliecheza na mamelodi ameshawai kutwaa caf champions league hata mara moja ?
Na nusu fainali hajawai kufika hata mara moja.
Huyo ni mwarabu mpuuzi hata simba angepangiwa nae angeshinda away.
Simba ana mafanikio kwenye Caf champions league kuliko huyo Mwarabu aliecheza na Mamelodi
Mamelodi wapo direct na kwa game moja wanaweza tengeneza nafasi hata 20Watanzania huwa tuna tabia ya kutishana na kutiana unyonge lakini Mamelodi Sundowns kwa aina ya mpira wake anaocheza ni rahisi zaidi kwa Simba kumdhibiti kwani anatabirika zaidi. Simba wakiwa na tahadhari na nidhamu ya hali ya juu wanaweza kuwatoa.Muhimu ni kujipanga tu.
Waarabu huwa wanampatia kwenye hatua za mtoano kwa kumchezea compact football.Aina hii ya mpira humsumbua sana na mara zote ameangukia pua kwa aina hii ya mpira alipokutana na waarabu kuanzia msimu wa 2016/2017 hadi 2020/2021 na msimu wa 2021/2022 wale Waangola walimtoa kwa aina hii ya mpira.
Kumbuka katika misimu yote hii, ni msimu wa 2018/2019 pekee ndiyo aliweza kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali na msimu wa 2017/2018 hakuweza kuvuka hatua ya makundi. Katika misimu yote hii walikuwa na wanaendelea kuwa na kiwango bora.
Waarabu kwenye hatua za mtoano hucheza kwa nidhamu na tahadhari ya hali ya juu na wana uzoefu wa hatua hizi.Iwe nyumbani ama ugenini. Sisi timu zetu huwa tunapungukiwa vitu hivi. Tp Mazembe kwenye ubora wao alikuwa navyo hivi vitu na alifanikiwa kuwamudu haswa hawa waarabu.!!!!!!!!!!
Nb 1 : Aina yao ya mpira haipishani sana na Simba.
Nb 2: Mamelody wanafanana kwa mbali na Manchester city kwa aina yao ya uchezaji.
Nb 3: Compact ndiyo njia nzuri kwa aina ya hii ya mpira.Pep Guardiola ameweza kuja na suluhisho kwa kuweka watu ambao wanaweza kuivunja compact, hao watu Mamelodi hana.!!!!!!!!!!!!
Nb 4: Mpira ni sayansi na umeenea karibu maeneo yote, zama za kutishana zimepitwa na wakati.
Nb 5 : Hatua za mtoano zina aina ya uchezaji wake na hazifanani na hatua za makundi.
Nb 6 : Timu za kiarabu ndiyo wapinzani halisi wa hili kombe. Naamini mojawapo zitafanikiwa kuchukua ubingwa, ingawaje mpira una maajabu yake na ni sehemu yake.
Ni mtazamo tu!!!!!!!!!!!!!
Simba alishafika nusu fainali na kuchukua kombe eti 😆😆😆😆😆😆
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.Huyo mwarabu aliecheza na mamelodi ameshawai kutwaa caf champions league hata mara moja ?
Na nusu fainali hajawai kufika hata mara moja.
Huyo ni mwarabu mpuuzi hata simba angepangiwa nae angeshinda away.
Simba ana mafanikio kwenye Caf champions league kuliko huyo Mwarabu aliecheza na Mamelodi
Kabylie alitwaa kombe mwaka gani?Hata simba ni mnyonge.
Katika timu 8 zilizofika robo fainali.
Ni timu 2 tu ambazo hazijawai kutwaa kombe.
Na hizo mbili ni Simba na Beulzdad
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.
Kabylie alitwaa kombe mwaka gani?
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.
Mamelod naye amechukua mara mbili wote wako sawa ila unasema kabylie amechukua mara nyingi huku wote wakiwa wametwaa mara mbili hii point ni wazi hujui mpira1981 , na mwaka 1990.
Kwa ufupi Kabylie Ametwaa kombe mara nyingi kuliko Mamelodi Sundowns
Mamelod naye amechukua mara mbili wote wako sawa ila unasema kabylie amechukua mara nyingi huku wote wakiwa wametwaa mara mbili hii point ni wazi hujui mpira
Furaha yako ni usikie watu wanasema wabovu basi ni wabovu ili ufurahiMara mbili mwaka gani na mwaka gani ?
Navyojua mimi mamelodi katwaa hilo kombe mara moja tu na ilikuwa mwaka 2016.
Kabla hujasema sijui mpira taja hiyo miaka aliyochukua mara 2.
Furaha yako ni usikie watu wanasema wabovu basi ni wabovu ili ufurahi
NimekoseaUmeni quote nikajua unataja mara 2 ni mwaka gani na mwaka gani ?
Naona umekwepa kujibu
Kumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilotimu zote hazijafika hapo kwa bahati mbaya. Ila haiondoi ukweli hizo timu 8 zinazidiana ubora na uwekezaji.
Mamelodi amemzidi Beulzidad kwa CV ya mafanikio africa , kwa ubora na kwa uwekezaji. Sio swala la kushangaa la mamelodi kumfunga beulzdad.
Mamelodi amewai kutwaa kombe mara 1. Sio ajabu kuifunga timu ambayo haijawai kufika hata nusu fainali ama kutwaa kombe.
Ni sawa na Yanga ama Simba aifunge Kagera sugar kwake. Halafu tumsifie yanga ama simba anatisha sababu kaifunga kagera sugar
Nimekosea
Furaha yako ni usikie mamelod ni wabovu na simba ni wazuri zaid ya mamelod
Tokea simba ianzishwe sikumbuki ni lini amesha shinda uarabuni nne, yanga ndo kabisa usiwaongeleeKumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilo
Kumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilo
Jamaa ni mbishi alafu hana factsMkuu unajichosha bure, huyo hajui mpira kabisa. Kwanza kasema Mamelod kamfunga Kabylie. Watu wakamkosoa karudi na kauli kuwa ndio hao hao wanyonge. Kapewa fact kaanza kuhamisha magoli kwenye vikombe. Anapewa mfano wa Al Ahly kufungwa na hao hao Mamelod pamoja na kuwa na makombe. Ana hama tena mada kwa Belouizdad. Usipoteze muda wako bure huyo mpira analazimisha tu ila umemkalia kushoto kabisa. Kutaka tu naye aonekane anajua