Sasa huyo mtoto thembankosi Lorch si mmemuona leo???kaweka 2 peke ake,haya huyo khuliso mudau laana zake mmeziona lakini???JAMANI HAWA MAMELODI WATAUA MTU NYIE HAYA
Habari zenu The Brazilians.
jana tuliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya maritzburg united katika michuano ya Nedbank cup.
mabao yetu yote mawili yalifungwa na Thembankosi Lorch.