Mamelod Sundowns waweka rekodi ya usajili

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
17,274
22,008
Mamelod Sundowns yaafikiana na Klabu ya Sepsi OSK ya nchini Romania kumuachia Mslovakia Pavol Safranko ,26, ajiunge na Mamelod ya Afrika Kusini kwa euro 700,000 zaidi ya Tsh Bilioni 1.9, dau hilo likiwa la uhamisho wa kihistoria katika Klabu hiyo ya Ligi Kuu Romania.

TAKWIMU ZA PAVOL MSIMU HUU

Mechi 25
Magoli 7
Assist 4."

174000946_2040129952795140_6862092525995611331_n.jpg
 
Tunaomba na wachezaji wa Wydad Casablanca, Pyramids, Zamalek na Al ahly, tuone wachezaji wao walisajiliwa kwa shingapi hela ya bongo!
 
Mamelod Sundowns yaafikiana na Klabu ya Sepsi OSK ya nchini Romania kumuachia Mslovakia Pavol Safranko ,26, ajiunge na Mamelod ya Afrika Kusini kwa euro 700,000 zaidi ya Tsh Bilioni 1.9, dau hilo likiwa la uhamisho wa kihistoria katika Klabu hiyo ya Ligi Kuu Romania
TAKWIMU ZA PAVOL MSIMU HUU

Mechi 25
Magoli 7
Assist 4."View attachment 1754608
Mbona bei ya kawaida sana hiyo. Sisi tunamuuza mmakonde wetu Euro 1.0 milioni.
 
Patrice Motsepe (Gallo Images)

Patrice Motsepe (Gallo Images)

Mamelodi Sundowns' billionaire boss Patrice Motsepe was confirmed as the president of the Confederation of African Football (CAF) on Friday.

Patrice Motsepe, who has a net worth of $2.2 billion according to Forbes.

Media-shy Motsepe made the bulk of his $3.2 billion fortune in mining, and is the brother-in-law of South African president Cyril Ramaphosa.

  • Patrice Motsepe, the founder and chairman of African Rainbow Minerals, became a billionaire in 2008 - the first black African on the Forbes list.
  • In 2016, he launched a new private equity firm, African Rainbow Capital, focused on investing in Africa.
  • Motsepe also has a stake in Sanlam, a listed financial services firm, and is the president and owner of the Mamelodi Sundowns Football Club.
  • In 1994, he became the first black partner at law firm Bowman Gilfillan in Johannesburg, and then started a mining services contracting business.
  • In 1997, he bought low-producing gold mine shafts and later turned them profitable.
21 Sept 2017

Patrice Motsepe honoured by Forbes

Mining Magnate Patrice Motsepe has been nominated as one the 100 great business people in the past hundred years by Forbes. He was honoured in New York along with renowned business people like Bill Gates, Mark Zuckerberg and Ted Turner among others.
Source : SABC
 
Alikuwa ud songo kwa mkopo kutoka mamelodi... fuatilia viongozi wa simba walienda south kufanya nini? Ama tafuta interview ya kocha mosimane alivyokuja na al ahly dar ..
Yap,,alitolewa kwa mkopo Ud Songo kutoka Mamelody,wakati huo Mamelody ikifundishwa na Pitso Mosimane kocha wa sasa wa Al Ahly.
Nilichomaanisha"Simba kuokota dodo chini ya muarobaini"ni wanachokipata sasa timu ya Simba kutoka kwa Mequison Mamelody walikitoa bure kwa mkopo Ud Songo kisha Simba akachukua kwa kufanya mazungumzo na Mamelody.

Mequison wa sasa hata Mamelody leo hii wakitaka kumsajili watapigwa pesa ndefu tofauti na pesa walizotoa Simba kwa Mamelody kwasababu keshakuwa dodo.
 
Alitolewa kwa mkopo sababu alikosa namba mamelodi, namba yake mamelodi inachezwa na themba zwane ambaye ni winger hatari sana... hata leo hii miqquissone hana thamani / kiwango cha kumzidi zwane
 
Simba ya Mequison imeibuka ikiwa nafasi ya kwanza kundi "A"nafasi ya pili kwa msimamo wa ligi ya caf champion.Mequison akiwa mchezaji mwenye msaada mkubwa kwa Simba.

Mamelody ya Zwane imeibuka nafasi ya kwanza kundi" B"nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya caf champion.
Alitolewa kwa mkopo sababu alikosa namba mamelodi, namba yake mamelodi inachezwa na themba zwane ambaye ni winger hatari sana... hata leo hii miqquissone hana thamani / kiwango cha kumzidi zwane
Mimi sijamshindanisha Mequisone na mchezaji yeyote,ila Simba kwa Mequisone wameokota dodo chini ya muarobaini.
Hata uyo Zwane unaemuona wewe winger hatari kwa Simba ya sasa hapati namba,Simba imetimia kama wao Mamelody walivyotimia.
 
Back
Top Bottom