Mambo yatakayochangia kuanguka kwa serikali ya ccm ni kama ifuatavyo:
1. Kiburi cha viongozi wake.
2.uchakachuaji wa katiba.
3. Wizi na dhuluma ya viongozi
4. Kujitajirisha kwa viongozi huku umaskini wa wananchi ukiongezeka.
5. Kujenga shule za kata kwa ajili ya maskini huku watoto wao wakisoma shule nzuri.
6. Kuzidi kushuka kwa elimu ya tanzania.
7.tatizo la ajira na kukosa ubunifu kwa viongozi.
8.ahadi hewa za wanasiasa.
9.kukosekana kwa dawa hospitali za serikali huku wao wakitibiwa nje ya nchi.
10.kushindwa kuwajibika au kuwajibishwa kwa viongozi wanaofanya madudu.
11.rushwa.
12. Polisi kuua raia rejea kifo cha mwangosi na wengine .
13. Kuamini kuwa hawawezi kuondoka madarakani.
14 mauaji ya albino.
Ongeza na mengine unayoyajua