Mambo yanavunja mahusiano.

Inahitaji uwe malaika kuyaishi yote hayo...
 
Kutokuwa karibu na mwenyezi mungu hasa kuanzia pale kwenye kubalehe na kuendelea.
The only reason.
 
hivi wivu wakijinga ndio upi ?
 
Nikipata pesa nitampata mwenye nidhamu ya woga atatosha kukidhi haja zangu
 
Haya mkuu tumekisikia tutajitahidi kuyarekebisha hayo mapungufu
 
uwazi kabisaaa , hayo ni kweli kabisa haya mambo yafiisha kabisa hata ndoa c mahusiano tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…