Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
Wakuu sio siri saiv MMU kumenoga,naona huku chit chat wanaume weng tunalalamika kuwa wadada wote wapo in pair na majamaa..sasa nimepita uko love connect ase katika zile threads za mwanzo wamejaa wadada tena wenye diploma na wengne degrees wanatafuta marafiki na wapenzi jamani...mkatoeni msaada kule,jukwaa limeelemewa...nkahisi lada mambo ya vyeti kwamb watu wnatafuta wa kuwafariji au wa kusaidiana kulipa madeni?? embu tufanye tathmini waloathrika na vyeti feki ni wanawake au wanaume ndo weng? afu embu muwatag wanaolalamika hawana wapenzi JF wakajichkulie,uko wenza wao...hahah nice wekend.