Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]penye ridhiki hapakosi fitina nimependa sana ua lake zuri kushinda maua yote
Yale manyama ya uzembe ndio tu yaliyoharibu.penye ridhiki hapakosi fitina nimependa sana ua lake zuri kushinda maua yote
Mpaka asubuhi kuamka saa 5[emoji15] [emoji39] [emoji39] Vi3 na kuendelea ki1 nitajizulumu.
Ni uchafu tu wa pwani kama huu hapa chini!Zanzibar dsm tanga mombasa hayo mambo yanapatikana wakuu..!Mansha'allah wallahi mabata ushungu..!
We utakua mchaga au Msukuma na majirani zakeHuo urembo unanitisha, haunivutii!
Akijiremba namna hiyo namwona kama jini vile!
Yaani na mie nimependa hapooo!penye ridhiki hapakosi fitina nimependa sana ua lake zuri kushinda maua yote
Wewe ndio yupi kati ya hawa mkuu😱😱😱Ni uchafu tu wa pwani kama huu hapa chini!
View attachment 507105
View attachment 507108
View attachment 507106
Huu urembo si kwa wote... Kama wewe sio wa pwani wala sikushangai...Huo urembo unanitisha, haunivutii!
Akijiremba namna hiyo namwona kama jini vile!