Mambo ya ndoa

Mambo ya ndoa

MZEE MAPOSENI

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
50
Reaction score
11
UTAFITI HURU

Binadamu wote tuko "Curious" kwa maana kila binadamu ana hamu ya kujua mambo mengi sana hata yale ya hatari mtu atapenda ayajue.

Walioanza kulewa walitamani kujua ukilewa huwa nini kinatokea? Wa dawa za kulevya walitamani kuonja ili wajue ukitumia madawa nini kinatokea? Huo ndio ubinadamu.

Binadamu anaenda mbali zaidi, hata kuamua kuoana watu wa jinsia moja, na wengine kutembea na watoto wao wa kuwazaa, nia ni ile ile tamaa ya kutaka kujua nini kitatokea endapo atakamilisha azma yake.

Walioolewa na waliooa wanatamani kutembea nje ya ndoa zao ili "waonje" raha za mbadala, ugali kwa mboga moja hauna ladha iliyokamilika.

Wazungu wanajali sana ubinadamu na haki za binadamu, wameruhusu rasmi ushoga na usagaji pia ndoa za mikataba.Kwa kuwa ni ubinadamu basi hatuna budi kujali na kuheshimu ubinadamu wetu.

Tumezaliwa na tamaa, watu wana tamaa ya mambo na vitu mbalimbali, mimi nina tamaa, wewe una tamaa na wengine wana tamaa , tamaa huleta maendeleo.

Una tamaa ya kuonja nje una tamaa na mabwana wengine unawatamani mabwana za watu. Na akina baba wanatamani mno kutembea na wake za wenzao au na mabinti wengine.

Mchana kazini, usiku mwili upumzike ili kupata nguvu ya kazi za kesho yake, kazi bila michezo au hata mazoezi hazitakwenda. Utafiti unaonyesha kuwa Ajira yoyote inahitaji likizo ili kufanya akili na mwili kupumzika kwa kiasi cha kutosha.

Ni ukweli unaosemwa chinichini kila mwanandoa anatembea nje ya ndoa yake, kumbe hata wake za marais wa nchi hupenda kutoka na mabwana wengine, wapo wengi waliofanikisha azma hiyo, (Mfn Mke wa Rais Bakili Muluzi alitembea na walinzi wa Ikulu) wapo wengi wanaopenda kutoka nje ila mazingira yanawabana.

Bwana yuleyule, staili zilezile inachosha hata kama unampenda kwa kiwango gani lakini INACHOSHA! Lazima watu WACHEPUKE.

Wanawake wanapoulizwa kwa nini wanatoka nje ya ndoa zao? Majibu huwa ni; Mume wangu yuko bize sana na kazi zake hana nafasi na mimi, hanitoshelezi, mume wangu anatembea na mke wa jirani yetu, mume hana hamu na mimi na majibu mengine yanayofanana na hayo.

Ongezea unayoyafahamu au toa maoni kuhusu utafiti huu
 
ndo binadamu hao lazima ajaribu tuuu maana hana namna nyingine
 
Kujaribu ni njia mojawapo ya kujifunza mapya mfano,mapishi mbalimbli,staili mpya n.k
 
Ulichokiuliza kipo kwenye mada?
Kama huelewi alicho post mtoa mada uliza ueleweshwe
Utafiti na kinyesi wapi na wapi?

Mkuu naona umepanic,, nimeuliza swali kimtego tuu... Narudi kwenye post,, ““haya ndo mambo ya kujaribu mbona watu huwa hawawazi na kujaribu kula huo uchafu..““

Mtu anayetoka nje ya ndoa ni mchafu (kitabia),, mtu anamke/muke ndani bt anajaribu kucheat ni mchafu... Kwann ujaribu,, hebu tujaribu kula na kinyesi,, maana nao ni uchafu...

Note..,;; point angu nilikuwa sikulengi ww mkuu,, am sorry kama nimekukwaza kwa namna moja au nyingine
 
Back
Top Bottom