Mambo ya kuzingatia uwapo safarini

Na tunda alikulaaa
 
Kweli kabisa, wakati mwingine watoa huduma ni kero kwa abiria
 
Usha dinywa
 
Ndio maana huwa napenda nikisafiri na basi yaani safari inapoanza tu mi nishagida pombe kitambo. Hapo simsumbui mtu mwanzo mpaka mwisho wa safari. Nishawahi kulala kabisa kwenye siti za nyuma kuanzia Manyoni hadi Mbezi.
Duh!
 

Ukipanda basi za ABC hakuna huo ujinga wa kuingia na chakula,mnashuka hotelini mnakula vizuri tu mnamaliza ndio basi linaindoka,dk 10 kwa chai,dk 30 kwa chakula cha mchana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo namba tano kuna abiria(me) nilikaa Naye kwa siti arooo nilichokaa mana abiria yule alikuwa anasinzia karibia nusu ya safar kazi ilikuwa kuniegemea
 
Hii ni kero sana, kuna dada alikaa bila kunisalimia badae ananiomba simu eti ampigie mwenyeji wake.
Mwingine anakuwa amekusalimia ila kwa sauti ya chini, ye anawaza amesalimia kwa saut hujasikia. Mi nikisalimia Mara moja hujaitika sirudiag so utawaza tu najisikia sikusalimia
 
Basi, tuliosoma Cuba kwa balozi Polepole tumeshafahamu hata hicho kipengele ambacho haujakisimulia!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ndio mwanzo wa mamende. Basi zuri limejaa mamende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…