Mambo ya kuzingatia unapochagua shule ya awali

Mambo ya kuzingatia unapochagua shule ya awali

bhoga

New Member
Joined
Aug 31, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Habari Wana Jamiiforum, naomba mpokee salamu za msimu wa sikukuu, hususan Heri Christmas na Mwaka mpya 2026. Niwaombe mpate nafasi ya kupitia mambo haya machache muhimu ya kuzingatia unapochagua shule ya kumpeleka mtoto mdogo wa umri wa chini ya miaka 6. Nitawakumbusha tu basdhi ya vitu vichache ambavyo huwa tunavizingatia tukiwa nyumbani na ni hivyohivyo msivisahau kuzingatiai mnapochagua shule ya awali:
  • Mazingira salama, mnapenda mtoto awe sehemu salama
  • Usafi wa mtoto na vyote anavyovitumia
  • Mafundisho yanayoendana na umri wa mtoto, muhimu sana
  • Kulala na kupumzika vizuri
  • Afya bora kwa njia ya lishe bora tena kwa wakati sahihi
  • Utulivu wa hali ya juu hasa anapokuwa amelala au amepumzika
  • Mafundisho bora ya kimaadili; heshima, adabu, nidhamu na utii
Hayo ni machache, zaidi soma kwenye post picha zilizo ambatishwa au mengi zaidi tembelea instagram: highhopes_academy_arusha
 

Attachments

  • IMG-20251205-WA0038.jpg
    IMG-20251205-WA0038.jpg
    76.3 KB · Views: 4
  • IMG-20251205-WA0037.jpg
    IMG-20251205-WA0037.jpg
    66.5 KB · Views: 6
  • IMG-20251205-WA0039.jpg
    IMG-20251205-WA0039.jpg
    73.7 KB · Views: 7
  • IMG-20251205-WA0040.jpg
    IMG-20251205-WA0040.jpg
    85.1 KB · Views: 4
  • file_000000008f1871f5b7ffd63d85f38f99.png
    file_000000008f1871f5b7ffd63d85f38f99.png
    1.3 MB · Views: 5
  • file_00000000abd471f59dd5c0aa2fb06bda.png
    file_00000000abd471f59dd5c0aa2fb06bda.png
    1.5 MB · Views: 9
  • file_00000000dc2c71fda84a5fd302d871f8.png
    file_00000000dc2c71fda84a5fd302d871f8.png
    1.8 MB · Views: 7
  • file_00000000b3cc71f5ac3705aac141eb83.png
    file_00000000b3cc71f5ac3705aac141eb83.png
    1.7 MB · Views: 8
Back
Top Bottom