Son of Nun
Senior Member
- May 8, 2017
- 179
- 78
Mkuu, niliwahi sikia mbwa anakula chochote je ni kweli au la?swala la kwanza uwe na uwakika wa chakula cha mbwa kila siku pamoja na chanjo
Kiufupi na vutiwa sana na mbwa ila swala la ulinzi pia lipo maanani.Unataka kufuga kwa ajili ya nini?
Fafanua hapo mkuu maana umeniacha gizani.usiwe unarudi nyumban saa5 usiku nakuondoka saa 11.30 asubuh
mbwa anayekula chochote ni mbwa koko unabidi ujipange kwa chakula unampikia chakula chake na sio kumpa mlichobakiza (makombo)Mkuu, niliwahi sikia mbwa anakula chochote je ni kweli au la?
Na pili chanjo ipi mkuu unayoiongelea?
Hapo umenitoa tongotongo mkuu,mbwa anayekula chochote ni mbwa koko unabidi ujipange kwa chakula unampikia chakula chake na sio kumpa mlichobakiza (makombo)
kuhusu dawa zipo chanjo kwa ma doctor mifugo kama unaona ni gharama kubwa unampeleka kwenye Yale wanayaita majosho unamuogesha uko
kama ni ulinzi haswa tafuta kwanza aina ya Pitbull(sikumbuki kama waliisha ruhusiwa kuingia) au rottweilerKiufupi na vutiwa sana na mbwa ila swala la ulinzi pia lipo maanani.
Uko sahihi mkuu,refer kilichomkuta kingunge.watu wengi wanafuga mbwa alafu wanamwacha houseboy awe master.kumbuka dog always remember its masterusiwe unarudi nyumban saa5 usiku nakuondoka saa 11.30 asubuh
Hapo nimewapata mkuu ila vipi kuhusu bei ya mbwa ya kununua namaanisha?Uko sahihi mkuu,refer kilichomkuta kingunge.watu wengi wanafuga mbwa alafu wanamwacha houseboy awe master.kumbuka dog always remember its master
Vipi mkuu kuhusu German shepherd uzuri wake na bei yake?kama ni ulinzi haswa tafuta kwanza aina ya Pitbull(sikumbuki kama waliisha ruhusiwa kuingia) au rottweiler
hakikisha wanakula wanashiiba nasema tena wanashiba
Sawa Mkuu ujumbe umefika.usiwe mlevi atakutafuna mpaka k€nd£
Vipi mkuu kuhusu German shepherd uzuri wake na bei yake?
Na hao pia uliowataja vipi bei zao?
Mkuu hiyo hela mbona kama mtaji ila kila nikiona picha ya Shepherd nabaki tu nawaza hivyo hamna namna ni kujitosa tu.G.S Mzuri sana kwanzia muonekano , na kikubwa uwezo wake kiakili ni mzuri anashika vyema sana mafunzo.
Hao wengine ni wananguvu saana sanaa na ni wakali saaaana wanakuharibu hata wewe ukifanya makosa kama kutowapa chakula chakutosha, mafunzo ya maana . Kwenye swala la bei jipande mzee ili upate mbegu halisi andaa kwanzia laki 3.5
Mkuu akipata hao mbwa rotweiler na german shephard kwa laki 2mpaka 3,me ntaenda kuwanunua kwake kwa 3milion then nkawauze nakojua kwa bei ya kutupa 5m+G.S Mzuri sana kwanzia muonekano , na kikubwa uwezo wake kiakili ni mzuri anashika vyema sana mafunzo.
Hao wengine ni wananguvu saana sanaa na ni wakali saaaana wanakuharibu hata wewe ukifanya makosa kama kutowapa chakula chakutosha, mafunzo ya maana . Kwenye swala la bei jipande mzee ili upate mbegu halisi andaa kwanzia laki 3.5
Mkuu mbona umenikoroga fafanua kidogo.Mkuu akipata hao mbwa rotweiler na german shephard kwa laki 2mpaka 3,me ntaenda kuwanunua kwake kwa 3milion then nkawauze nakojua kwa bei ya kutupa 5m+