Mambo ya kushangaza...

Mambo ya kushangaza...

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
878
Reaction score
1,147
--Ukistaajabu ya Mussa , utayaona ya firauni huu msemo unamaana kubwa sana . Kwa kawaida nchi zenye mambo ya ajabu ushenzi mkubwa ni nyingii sana lakini Italy ni moja wapo.

Mnamo mwaka 79AD Kabla ya kuja kwa Jesus 'yesu'' , Huko nchini italy kwenye mji wa zamani uitwao Pompei ambao ulisambaratika ghafra tuu baada ya kuungua na volcano toka kwenye mlima mkubwa ulio kuwa karibu na mji kuvuja .

Volcano ilitoka kwenye mlima wa Vesinius , ndipo ilipelekea asilimia 75 % ya binadamu kupoteza maisha . Na baadhi ya miili hiyo iliweza pia kufunikwa chini ya makazi hayo .

Ndipo wanasayansi toka marekani wamegundua baadh ya mabakii Huko chini Karne ya 19 ,Na kwenye mabaki hayo ni mafuvu ya Watu ambayo yameleta utata mkubwa na kuwa maarufu tuu mpaka sasa .

Katika mabaki hayo lipo moja linaonesha mwanaume aliekuwa anajichua , masterbation Kabla ya kuungua Yani alikuwa kwenye kitendo hicho !!!

Pia lipo fuvu la mwanamke likionesha alikuwa anapiga kelele ivi ama kuugulia maumivi frani ivii kabila ya kupatwa na volcano ,!!

Pia ipo mabaki ya wanawake wawili wakiwa wamegandana huku ikisemekana kuwa walikuwa wazi ni wapenzi wa jinsia mojaa , hivyo janga limetokea wakiwa wanafanya tendo la jinsia mojaa . Ni maelezo ya uchunguzi toka kitengo Cha wanasayansi wa marekani .

Ndugu zangu huenda hii ni adhabu kutoka kwa Mungu kutokana na matendo machafu yaliyokuwa yanafanyika mpaka kupitiliza enzi za utawala wa kirumii . Mungu atunusuru sote
FB_IMG_1597091832565.jpg
 
75% ya watu wote duniani waliishi Pompei Italy. Kama zile fix za safina na Nuhu
 
Wapiga punyeto tunasakamwa sana, jamani kama mnadhani sisi wapiga punyeto tunafaidi sana bc na nyie fanyeni.

Halafu kumbe volcano hua haiunguzi mwili kiasi kwamba mwili kuteketea kabisa hadi kuwa majivu au hii mada ni uongo.?
 
75% ya watu wote duniani waliishi Pompei Italy. Kama zile fix za safina na Nuhu
Hujaambiwa asilimia 75 ya watu wote duniani....75% ya watu waishio pale Pompei aseee walimu wana kazi kubwa sana kuliko madokta
 
Back
Top Bottom