Mambo ya Gesi Mtwara

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Bibi mmoja wa Kimakonde alienda hospitali akiwa anasumbuliwa na tumbo. Baada ya kumweleza daktari jinsi alivyojisikia kuumwa, daktari alimweleza bibi huyo kuwa dalili zote zinaonesha alikuwa anasumbuliwa na gesi tumboni.

Bibi kusikia kuwa ana gesi tumboni, alipatwa na mshangao mkubwa na maongezi yaliyofuata kati yake na daktari yalikuwa hivi:

Bibi: Bah! Bwana weye nitunzie siri.
Daktari: Siri gani bibi?
Bibi: Kuhusu huu utajiri nilio nao tumboni. Uchiwambie sirikali ya Chichiem wakaja kuniuza kwa wawekezaji.
 
nasikia kasema ataenda kutafuta mwekezaji mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…