Mambo ya futari hayo.....

Duh!! Hata logic iliyomo ktk neno kufunga, haionekani hapo. Kubadilisha tu masaa ya kula??????
 
Hapo katumbo lutu! Akizinduka siku imepita na anajipanga kuji2pia tena.Tehe tehe tehe ndo maana haishangaz kuona bei za vyakula kwa market hazikamtiki kipindi hiki.
 
Hii ni dharau kwenye dini ya ...........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…