mambo ya fedha

Uo unafiki sasa haya yatakua kule magogoni !
 
Suala hapa ni thamani yake. Inawezekana ni fedha ya Zimbabwe.
 




cheki noti ninazo zimiliki nafiki hata mafisadi hawanifikii hata robo!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hizi Pesa mimi ninazo ninataka kuyaleta mabasi ili yawe yanavukisha watu toka Kivukoni ferry to kigamboni ona video hii hapa chini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…