Mkuu Suzane hii ni kiboko kwa bei rahisi sana. TECNO hii function zake ni sawa na Samsung s5 na utaipata kwa bi ya tsh kati ya laki nne na laki nne na elfu hamsini unapewa na powerbank. kwa ujumla iko fasta mno kuliko kawaida. mimi nilikuwa natumia samsung s3 lakini kwa sasa imeipumzisha iko slow ukilinganisha na phanton hata ukiwa kijijini na net ikiwa ndogo sana yenyewe inadunda tu.