Mambo ya digital haya.

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,058
Reaction score
2,159
Toka jana asubuhi mpaka leo mchana nimeteswa sn na "no service OR not subscribed"from star tmes,fungua antenna check connection settngs wap!angaika na ksarawe wap!!!Rafk yang mmoja ndio amenitonya now elekezea antenna makongo juu!!!!!?Hii kwel ni dijitali
 

Usinikumbushe, manake nina mihasira na hawa jamaa hadi nimeanza ku-search kwenye google matusi ya Kichina ili niwatumie! King'amuzi chao mie nilishaachaga kukilipia zamani ingawaje nilikuwa naendelea kula Channel za bure bila chenga! Jana nikaona nishawanyonya sana, nikalipia kifurushi cha TZS 36,000/=......ni full upumbavu. Ukiangalia wanatangaza eti wamewasha mtambo wa Makongo Juu, so kama signals zina matatizo elekeza antena Makongo Juu!!! Ninachojiuliza, kuwasha mtambo wa Makongo Juu ndo ku-affect signals ambazo hapo kabla hapakuwa na tatizo!!! I say, Wo kao Startimes, Ri ni ge xian ren ban ban Startimes....I REPEAT, WO KAO STARTIMES
 
Hahahaha. Gugo ni noma. Ila mkuu wewe ni noma zaidi. Haya mwenzetu, utawa-kao kwenye mahakama gani ambayo file halipitii kwa DPP?? Hao wan.
 
Hahahaha. Gugo ni noma. Ila mkuu wewe ni noma zaidi. Haya mwenzetu, utawa-kao kwenye mahakama gani ambayo file halipitii kwa DPP?? Hao wan.
Nawe warushie moja bhana hata kama unatumia Di Es Ti Vii!
 
Ngoja nikuambie kitu Infopaedia,
Mtu akishanitajia DPP tu anakuwa ameshaiharibu siku yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Startimes ovyo kabisa. Pia mbaya zaidi kuna kifaa kinaungua haraka picha zinaanza kuwa mgando. Juzi wakaniambia eti atakuwa mende ameingia kakojolea ndo kikaungua. Pumbafu sana hii dijitali
 
Unasik-rqrqrqrqrqrqr-iliza taar-rqrqrqrqrqr-ifa ya ha-rqrqrqrqrqr-bari toka itv, kama ingekuwa ni dj basi kwa startimes ingeongoza kwa scratch!!!
 
Startimes ovyo kabisa. Pia mbaya zaidi kuna kifaa kinaungua haraka picha zinaanza kuwa mgando. Juzi wakaniambia eti atakuwa mende ameingia kakojolea ndo kikaungua. Pumbafu sana hii dijitali

Kwii kwi kwiii kwii hapo kwenye red umenivunja mbavu mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…