mambo ya bajaj

hii bajaj niliwah kuiona maeneo ya ilala...nlitaka kupiga picha nkashindwa ....ilinifikirisha sana ...jamaa sijui alikuwa anawaza nn...
 
Yesu rudi bana, nimechoka aisee,
 
Kile kichapo chote atarudi kweli?
 
Hahahahaah,,,,,,hawa jamaa haya maneno sijui huwa wanayatoa wapi. Yanafikirisha kwelikweli.....
 
alternatively kama anataka kumuona Yesu si avute...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…