Mambo mengine yana kera kweli hebu cheki hii

Mambo mengine yana kera kweli hebu cheki hii

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Umetoka huko uliko na mahasira yako kama kilo kumi hivi ukasema hebu ngoja utumbukie huku uchekecheke kidogo uifanye siku yako iwe njema zaidi ukapitia pitia thread ukitafuta thread ipi itakufanya ufurahi ghafla ukavutiwa na thread hii basi mtu mzima ukaifungua ukiamini utakutana na kitu kitakacho kufanya kutabasamu na kufurahifurahi au utakuta kitu cha muhimu kitakacho kuchekesha . Lakini Kitu cha ajabu badala ya kucheka unajikuta unaanza kukasirika na kupaniki kwa kupoteza muda wako kusoma liuzi lisilo eleweka.Unasoma mwanzo mpaka mwisho hata haucheki we acha tu ujue inakera sana.Mtu umekuja kutafuta kitu kitakacho kufanya kucheka lakini mtu anakazana kabisa anapost li kitu ambalo halieleweki namna hii inakera sana .Ina kera mno. NB.WEWE ULIYESOMA MPAKA MWISHO POLE SANA KWA KUKUPOTEZEA MUDA WAKO KWA AKILI ZAKO ULIAMINI KABISA UKISOMA MWANZO MPAKA MWISHO UTACHEKA TEH TEH TEH.WAJANJA WAMEISHIA KATIKATI.Mimi nilikuwaNATANIA TU kumbuka hili ni jukwaa la KUTANIANA nitakushangaa kama utachukiwa kutaniwa.
 
Umetoka huko na mahasira yako kula kama kilo kumi za pilipili hasira zako zitaisha
 
umetoka huko uliko na mahasira yako kama kilo kumi hivi ukasema hebu ngoja utumbukie huku uchekecheke kidogo uifanye siku yako iwe njema zaidi ukapitia pitia thread ukitafuta thread ipi itakufanya ufurahi ghafla ukavutiwa na thread hii basi mtu mzima ukaifungua ukiamini utakutana na kitu kitakacho kufanya kutabasamu na kufurahifurahi au utakuta kitu cha muhimu kitakacho kuchekesha . Lakini kitu cha ajabu badala ya kucheka unajikuta unaanza kukasirika na kupaniki kwa kupoteza muda wako kusoma liuzi lisilo eleweka.unasoma mwanzo mpaka mwisho hata haucheki we acha tu ujue inakera sana.mtu umekuja kutafuta kitu kitakacho kufanya kucheka lakini mtu anakazana kabisa anapost li kitu ambalo halieleweki namna hii inakera sana .ina kera mno. Nb.wewe uliyesoma mpaka mwisho pole sana kwa kukupotezea muda wako kwa akili zako uliamini kabisa ukisoma mwanzo mpaka mwisho utacheka teh teh teh.wajanja wameishia katikati.mimi nilikuwanatania tu kumbuka hili ni jukwaa la kutaniana nitakushangaa kama utachukiwa kutaniwa.
mapum**yako
 
umeandikaje mbona hata sioni!!?
hahaha ngoja nisome nyingine kweli hii inakera
 
umeandikaje mbona hata sioni!!?
hahaha ngoja nisome nyingine kweli hii inakera

Hata mimi nashangaa wengine wanaona maandishi kwenye hii post na wengine HAWAONI MAANDISHI nahisi tatizo ni device unayotumia mbona kwa wengine maandishi yanaonekana.
 
mtu kama ww lazima uwe umepata div. 5 maana huwezi kuwa great thinker:banghead:
 
Back
Top Bottom