1. Wengi wanaingia kwenye ndoa na wale wanaowapenda kwa status (cheo, fedha, elimu, e.t.c) na siyo kwa feelings. Status ikiyumba tu, ndoa hakuna.
2. Kutokuweka mipaka ya muingiliano kati ya ndoa na ndugu/jamaa/marafiki.
Ukiruhisu rafiki, ndugu ama jamaa kujua kila kitu kuhusu mwenendo wa ndoa yenu lazima watatia chumvi na ndoa kuvurugika.
3. Kuficha tabia wakati wa uchumba. Mtu ni mlevi, mzinzi, mwizi, teja n.k, lkn wakati wa uchumba anakuwa mlokole. Mkiingia kwenye ndoa tabia halisi zinarudi. Hapa hakuna ndoa.
Hitimisho: watu wawe na uhalisia (wasifeki) na wajisimamie. Full stop!!