Mambo ambayo Mwanamke asikutishe nayo.

Astaghfirullahill aliyyul adhiim!

Kuna mambo hayakuwahi kufikirika kichwani mwangu kabisa!

Aisee!
Kaa kijemedari na sio kulia lia...weka kitu niweke kitu....weka amani niweke amani...weka ujinga nikuwekee upumbavu....hatuendekezi unyonge
 
Kaa kijemedari na sio kulia lia...weka kitu niweke kitu....weka amani niweke amani...weka ujinga nikuwekee upumbavu....hatuendekezi unyonge
Nakuelewa kamanda!

Kama kalambwanda yaani! Mwendo wa kupush kete tu!

Unampushia na huu ujumbe mwendo wa unyang'au!
 

Attachments

  • 41f56f6629fa76673d8f84839d4197dd.mp4
    2.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…