HiwwKuna wanaume wengi sana wamekua blackmailed na wanawake kwa mambo ya kijinga sana. Yaani wanaume wamekuwa mateka wa wanawake bila sababu za msingi .
1: kukuambia bila yeye hauwezi kwenda, hii futa kabisa nje kuna wanawake wengi mno hadi utachoka wewe.
2: kwamba atakualaani, aisee kungekua na laana rahisi hivyo basi tungeanza na walio telekeza masingo maza hawa wanaume wote wangekua wanatembea wamevaa vyupi kichwani.
3: kwamba atakuloga, wewe kama mwanaume usiogope kwani waganga wapo kwa ajiri ya wanawake na wanaume, unaogopa nini....? Kama unasali sali sana kama unaagua agua sana. Infact mwanaume unatakiwa umshinde kila kitu huyu mkeo.
4: kukufanyia jambo baya, mzee adui wa mwanamke ni mwanamke kama vile ndugu yetu manara kaona kale ka rushaina sijui kana leta mdomo na kujikuta kaziri sana kaamua akaletee chuma chenzie na kukibrand vilivyo, hadi imefika hatua rushana kapotezwa mbaya. Yes huyu ndio mwanaume na sio kulia lia, mwanamke akijifanya anaroho mbaya mtafutie mwanamke mwenzie mwenye roho ya hatari hata kwa kumlipa hata ikifika mahakamani wanasimama wanawake so ngona inakua drow. Ila wewe kama mwanaume chance ya kumshinda mwanamke ni ndogo maana mifumo ya LGBT imetaradadi lila kona hivyo wacha Vyuma viumane.
5,
6....mtajaza mwenyewe
Huyo kwenye profile ni wewe?Ukilogwa mashine isisimame wewe Loga aende blidi maisha yake yote
okHapana
Na kuna wale wengine wanatabia ya kutishia kuwa wanaume wenzako wananitongoza lila siku...ila cha ajabu kuna wanaume wanaogopaMamaj aliwai nitishia nisipompa pesa ataenda kujiuza barabarani apate pesa
Ha ha ha....niliishia kucheka Sana[emoji1787]
Ha ha ha...uwa wanajaribu kutikisa kibiritiNa kuna wale wengine wanatabia ya kutishia kuwa wanaume wenzako wananitongoza lila siku...ila cha ajabu kuna wanaume wanaogopa
Muulize kwanza yeye kawaumiza wangapi kabla yako Wewe, bikra is overratedNimekuta Bikra akiwa na miaka 25,nikafanikiwa kuitoa kwa makubaliano kuwa nitakuwa mume wake ktk siku zijazo.Nikaambiwa kama nikimchezea atanilaani nisije fanikiwa ktk maisha yangu[emoji24].
Sijawahi kumcheat ila kwasasa hisia zimekata kabisa kwake.Nafikiria kukaa mbali nae ila naogopa laana.
Tena anavyokomaa nisimuharibie Malengo yake dahMuulize kwanza yeye kawaumiza wangapi kabla yako Wewe, bikra is overrated
Kwani hiyo bikira alikua nayo yeye tu mkuu. Kibaya usimdharau au kumfanyia vurugu na kumnyanyasaNimekuta Bikra akiwa na miaka 25,nikafanikiwa kuitoa kwa makubaliano kuwa nitakuwa mume wake ktk siku zijazo.Nikaambiwa kama nikimchezea atanilaani nisije fanikiwa ktk maisha yangu[emoji24].
Sijawahi kumcheat ila kwasasa hisia zimekata kabisa kwake.Nafikiria kukaa mbali nae ila naogopa laana.