KarugendoTz
Member
- Mar 7, 2025
- 34
- 58
No Reform no ElectionWanandoa wanawake tadhameni mambo ambayo mwanaume hapendi umufanyie mwanaume yeyote aliekamirika nilazima asipende yafuatayo.
1~KUZUNGUMZA SIRI ZA NDANI.
°hapa hakika kila mwanaume hapendi kuona jambo kama hilo mwanamke kusema siri za ndani.
2~KUMTEGEA KWENYE TENDO & UPENDO.
°Hapa kuna mawili tendo.upendo yani ukimtegea mwanaume kwenye tendo la ndoa na ukimtegea pia kwenye upendo yani akawa anakuonyesha upendo peke yake hakika mwanaume hapendezwi na hakika.
3~KUMFOKEA FOKEA.
°lijue hili yakwamba mwanaume hapendi kufokewa.
4~KUSHIKWA HOVYO NA MWANAUME MWINGINE.
°kama ulikuwa unaruhusu kushikwashikwa hovyo na mwanaume mwingine tofauti na mmeo kumbuka umeolewa na tena mmeo anawivu pia hatakama haonyeshi wivu hadhalani lakini anaumia sasa ukiendelea hivo mwisho mmeo atakuona malaya au mkoswa heshima.
[hayo nimachache tu ambayo mwanaume yeyote hapendi wewe mwanamke ulieshika ndoa na unaipenda shuleyamapenzi. Inakushauli ujichunguze kama unatenda ubaya acha ili mmeo umvutie zaidi ili mzeeke wote kabisa]
mwanaume hapendi pia wakati tendo la ndoa linaendelea halafu mwanamke ndio anaanza kutiririka shida zake za pesa na madeni yake ya kausha damu, michezo ya pesa ya siku au wiki na vikoba vyake vya siri.Wanandoa wanawake tadhameni mambo ambayo mwanaume hapendi umufanyie mwanaume yeyote aliekamirika nilazima asipende yafuatayo.
1~KUZUNGUMZA SIRI ZA NDANI.
°hapa hakika kila mwanaume hapendi kuona jambo kama hilo mwanamke kusema siri za ndani.
2~KUMTEGEA KWENYE TENDO & UPENDO.
°Hapa kuna mawili tendo.upendo yani ukimtegea mwanaume kwenye tendo la ndoa na ukimtegea pia kwenye upendo yani akawa anakuonyesha upendo peke yake hakika mwanaume hapendezwi na hakika.
3~KUMFOKEA FOKEA.
°lijue hili yakwamba mwanaume hapendi kufokewa.
4~KUSHIKWA HOVYO NA MWANAUME MWINGINE.
°kama ulikuwa unaruhusu kushikwashikwa hovyo na mwanaume mwingine tofauti na mmeo kumbuka umeolewa na tena mmeo anawivu pia hatakama haonyeshi wivu hadhalani lakini anaumia sasa ukiendelea hivo mwisho mmeo atakuona malaya au mkoswa heshima.
[hayo nimachache tu ambayo mwanaume yeyote hapendi wewe mwanamke ulieshika ndoa na unaipenda shuleyamapenzi. Inakushauli ujichunguze kama unatenda ubaya acha ili mmeo umvutie zaidi ili mzeeke wote kabisa]
Linapokuja suala la mwanaume mashine mnawasifia🤣😂Wasukuma mtupumzishe sasa humu ndani. Mnaandika km mnaongea na wasukuma wenzenu kwanini lakini?? 😹
tuna hasila sanaWahehe tupo humu ndani
Tujuane ili tupeane ushaurtuna hasila sana
Hili la kutunza SIRI Wanawake wengi wa Tanzania WAMESHINDWA.1~KUZUNGUMZA SIRI ZA NDANI.