The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Kuna wanaume wengi sana hivi sasa wapo na chuki, kinyongo,wivu na hisia za kisasi dhidi ya wanawake,baadhi ya wanaume hufikia hatua mpaka kuwaita akina mama majina ya wanyama kwa sababu ya kuumizwa sana kwenye mahusiano.
Ujumbe huu kutoka ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI sura ya pili ukurasa wa 154 utaokoa fedha zako,muda wako,hisia zako na juhudi zako ili usije kuumizwa tena kwenye mahusiano.
Mwanaume ambaye atashindwa kuzingatia haya mambo saba (7) atakuja kulia na kuwachukia wanawake wote ulimwenguni kwa kujitakia.
YAFUATAYO NI MAMBO SABA (7) AMBAYO MWANAUME HAWEZI KUYABADILISHA AKIYAONA KWA MWENZA WAKE HATA IWEJE
Mambo hayo saba (7) ni haya yafuatayo
1.HAIBA YA MWANAMKE (Core personality)
Kama wewe ni mwanaume zingatia kwamba ikiwa mwenza wako yupo na hulka ya (extroverted) kwa maana yupo na tabia ya kuongea kwa sauti ya juu sana,ni muongeaji sana,anaropoka hovyo,anapenda kuzurura ovyo mitaani,hatulii nyumbani,anapenda ugomvi na migogoro,ni mbishi, hashauriki, haambiliki, anakuwa mjuaji sana, anakuwa na misimamo mikali sana,anapenda uhuru uliopitiliza,hataki kupewa maagizo,hataki kupangiwa cha kufanya,akipanga jambo lolote anafanya hata kama umemkataza ni wazi kwamba hiyo ndiyo tabia yake na ataendelea kuwa hivyo miaka yote ya uhai wake.
Hawezi kubadilika kutoka kuwa (extroverted) aanze kuonekana ni (introverted) kwamba aanze kuonekana ni mpole, mnyenyekevu, mpenda amani,mwenye kujishusha, kukuheshimu,kukutii, usikivu, ukarimu, kusamehe makosa n.k jambo hilo haliwezekani hata siku moja.
Ikiwa mwenza wako anaamini kwamba kumheshimu mwanaume na kuonyesha utii ni utumwa na vilevile ni ukoloni mamboleo huku anasisitiza ni mfumo dume ni wazi kwamba mtaishi kwa malumbano, majibizano, kutukanana, kudharauliana, kushutumiana, kugombana, kupeana kashfa na tuhuma za usaliti mara kwa mara.
Hauwezi kubadilisha tabia zake kwa kumnunulia zawadi za gharama, kumjengea, kumsomesha, kuwasomesha wadogo zake, kujenga nyumbani kwao, kumchukulia mkopo, kumpa mtaji, kumkabidhi ATM card yako awe anatoa fedha kiasi chochote,kuandika majina yake kwenye mali zako zote ili kumthibitishia kwamba ûnampenda sana na upo tayari kufa kwa ajili yake.Yote hayo ukiyafanya ni kazi bure.Haiwezi kubadilisha tabia zake hata siku moja.Hivyo ikiwa haupendi tabia ya Mwanamke mropokaji muepuke,tafuta mwanamke ambaye anazungumza kwa upole huyo utaishi naye kwa amani.Siyo kila Mwanamke yupo kwa ajili yako.
2.IMANI YA MWANAMKE WAKO NA MAMBO AMBAYO ANAYATHAMINI SANA
Haijalishi utakuwa ûnampenda sana Mwanamke wako kuliko kitu au mtu yeyote hapa ulimwenguni, haijalishi utakuwa tayari kufa kwa ajili ya Mwenza wako, haijalishi utakuwa tayari kukonda , kupauka, kutembea kwa miguu umbali mrefu sana ili mwenza wako ang'ae, apendeze, atembelee usafiri wa gharama bado sio GUARANTEE ya kudumu na Mwanamke wako au kumbadilisha tabia.
Ikiwa mwenza wako anaamini kwenye falsafa ya 50/50 kwamba hakuna kichwa cha familia badala yake mwanaume na Mwanamke ndani ya nyumba wanaishi kama partner tu ondoa fikra zako kwamba atakuja kubadilisha msimamo wake hilo sahau.
Ikiwa mwenza wako anaamini kwamba ukiwa mwanaume hata kama unaingiza laki mbili (200,000)kwa mwezi na mke wako au mchumba wako anaingiza laki nane (800,000)- Ikiwa mke wako au mchumba wake anaamini kwamba fedha yake ni yake na fedha ya mwanaume ni fedha ya kuhudumia familia sahau kuona hata siku moja amenunua hata kijiko ,sahau kuona hata siku upo kitandani ni mgonjwa mahututi eti anunue hata panadol sahau hilo.
Ikiwa mke wako anaamini kwamba fedha zake ni kwa ajili ya kusaidia ndugu zake tu,wala sio kushirikiana na mume wake kwenye kufanya mambo ya maendeleo kwa kusaidiana majukumu sahau kuona anatoa hata senti tano kununua hata kikombe cha plastiki,siku zote atajenga kwa siri, atafungua biashara kwa siri,ataanzisha miradi kwa siri,fedha zako zitahudumia familia yako na ndugu zake lakini fedha yake haitasaidia kitu chochote ndani ya familia na endapo utauliza kuhusu matumizi ya mshahara wake utazukaugomvi mkubwa,mtaanza kujibizana, kugombana, kupeana kashfa na tuhuma za usaliti, kutishiana kuachana, kutukanana,mnaweza kufika hata polisi.
Ikiwa mwenza wako anaamini kwamba wanaume ni wanyanyasaji, wasaliti,wanaume ni wabakaji,wanaume ni watekaji,wanaume ni "mbwa", sahau kuona anakubali kutii na kuheshimu mamlaka yako ndani ya nyumba.
Ikiwa mwenza wako anaamini kwamba kumruhusu mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mfumo dume, kuonyesha utii na unyenyekevu kwa mwanaume ni utumwa sahau kuona anaonyesha utii na heshima kwako.
Haijalishi utampa mtaji, kumchukulia mkopo, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumjengea, kusaidia ndugu zake,kumuuguza, kusomesha watoto ambao ametelekezwa nao bado atakuwa mbishi,atakuwa hashauriki, haambiliki, anakuwa mjuaji sana,mtaishi kwa malumbano, majibizano, kutukanana,
Heshimu imani ya mwenza wako badala ya kutaka kumbadilisha tabia zake.Tabia hujengwa na imani ya mtu.
Hivyo ikiwa anakudharau ataishi na wewe kwa kukupelekesha, kukufokea, kukutukana, kukudhalilisha, kukujibu vibaya, kutishia muachane, kukugombeza, kukutoa dosari za muonekano mara kwa mara.
3.HISTORIA YA MWANAMKE WAKO
Historia ya mwenza wako haiwezi kubadilika.Ikiwa mwenza wako wakati akiwa binti alitoa mimba mfululizo, au kutumia dawa za uzazi wa mpango mpaka kizazi kimeharibika,au alikuwa na mahusiano na waume za watu, au alikuwa na mahusiano na wanaume wengi sana,au alikuwa mlevi kupindukia,au alikuwa anatumia bangi au dawa za kulevya,au alikuwa anavuta shisha,au alikuwa anajichora tattoo mpaka makalioni,au alizaa kila mtoto na baba yake,au alitelekezwa na ujauzito au watoto elewa kwamba hiyo ni historia yake na haiwezi kubadilika.
Hivyo sahau kwamba eti tu kwasababu upo naye kwenye mahusiano au umemuoa kwamba atakuja kubadilika tabia awe tofauti na historia yake kwa sababu tu ûnampenda sana na upo tayari kufa kwa ajili ya kumthibitishia kwamba ûnampenda sana kuliko mtu yeyote hapa ulimwenguni.
Tambua kwamba tabia ya mtu huwa ngumu sana kuibadilisha.Kwa vyovyote itakavyokuwa pindi tu utazuka ugomvi,au mabishano, malumbano, majibizano,au kupishana kauli au mtazamo tabia zake za zamani zitajuonyesha hadharani.
Ikiwa hauwezi kustahimili historia yake muache huru binti wa watu aende sehemu salama .
4.KIWANGO CHA HESHIMA AMBAYO ANAKUPA
Ikiwa mwenza wako anakudharau sana,anakuona bwege,anakuona haujielewi,anakuona unajipendekeza kwake,anakuona hauna HADHI ya kuwa naye,ikiwa mwenza wako anakudharau kwa sababu ya muonekano wako,umri wako,afya yako,mtindo wa maisha yako,kipato chako, elimu yako,haiba yako,lafudhi yako,harufu ya mwili wako,
Kama Mwenza wako anaonyesha kukudharau ataendelea kukudharau miaka yote haijalishi utakuwa unampa fedha nyingi sana,hata kama utampa mshahara wako wote,au umpe mtaji,au kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumjengea, kusaidia ndugu zake, kumchukulia mkopo, kumbembeleza, kumpa tahadhari,kumpa ushauri,kuanza kulia, kujilaumu, kutishia muachane,kutishia kujiua bado ataendelea kukudharau miaka yote.
Ndiyo maana unaweza kukonda, kupauka, kutembea kwa miguu umbali mrefu sana,kuvaa nguo za mitumba yeye umnunulie nguo za gharama kubwa sana,utumie simu ya batani yeye umnunulie Iphone,bado ataendelea kukudharau,anaweza kukusaliti kwa makusudi kabisa kisha atasema nimefanya kwa makusudi kabisa na hauna cha kufanya, anaweza kukuamrisha uchague kati yake yeye na mama yako mzazi, anaweza kukunyima unyumba kwa muda mrefu sana japokuwa unamtimizia mahitaji yake yote,unaweza kujitesa sana ili akuone husband material lakini cha ajabu fedha zako anakwenda kumhonga ex wake kisha wewe anakutukana matusi ya nguoni.
Anaweza kwenda night club,anakuja usiku saa 8 amelewa sana kisha ukiuliza alikuwa wapi anaporomosha matusi ya nguoni,atasema upo na wivu sana,unamfuatilia, sana, lakini haombi msamaha.Anafanya hivyo kwa sababu umeonyesha ûnampenda sana na upo tayari kufa kwa ajili yake, umethibitisha kwamba hauwezi kuishi bila yeye, hauwezi kumuacha hivyo upendo wako kwake unakuwa gereza lako.Ikiwa Mwanamke haonyeshi heshima yoyote kwako sahau kuona mabadiliko ya tabia zake hata kama utampa figo yako bado ataendelea kukudharau miaka yote.
5.HULKA YA KIKE KUWA NAYO AU KUWA HANA HULKA YA KIKE
Ikiwa mwenza wako yupo na tabia ya ubabe, kiburi, dharau, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali, utemi, hasira kupitiliza, haambiliki, hashauriki, anakuwa mkali kupitiliza, anakuwa anajiamulia vitu yeye mwenyewe,hataki kupewa maagizo, hataki kupangiwa cha kufanya sahau kuona hata siku moja anakuwa mpole, mnyenyekevu, mpenda amani, mwenye kujishusha kwako, mwenye kujali uwezo wako.
Kama mwenza wako hana hulka ya kike hauwezi kumbadilisha tabia aje kuonyesha tabia ya kike.
6.KUVUTIWA NA WEWE
Ikiwa mwenza wako haonyeshi ushirikiano wowote kwako sahau kuona mabadiliko yoyote kwako.Endapo utajitoa mhanga kumfariji, kumliwaza, kumtetea, kumpa ushauri, kumbembeleza, kumpa mtaji, kumchukulia mkopo, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama moja kwa moja uwekezaji wako unageuka gereza kwako na huo uwekezaji wako utafanya uwachukie wanawake wote ulimwenguni.
Kwa sababu mapenzi ni hisia.Hauwezi kununua hisia za mapenzi kwa kutoa fedha.
Fanya uwekezaji mkubwa sana kwako ujenge mvuto kwa wanawake wengine sio kumlazimisha Mwanamke ambaye hapendeki kwako akuone husband material.
7.UTAYARI WAKE WA KUBADILIKA TABIA
Mwanamke huwa anabadilka tabia yeye mwenyewe kwa kuona kwamba akifanya mabadiliko kuna fursa au manufaa anaweza kuyapata kwa kufanya hivyo na anajua kwamba ikiwa hajabadilika tabia atakosa fursa fulani au manufaa fulani.
Hivyo sahau kuona Mwanamke wako anaonyesha mabadiliko ya tabia zake eti tu kwasababu ûnampenda sana au unamjali sana.
Mwanamke akimpenda sana mwanaume huwa anajirahisisha sana lakini kama hampendi mwanaume huwa anakuwa mkali kupitiliza, anakuwa mbabe, anakuwa na misimamo mikali sana lengo ni kumfukuza Mwanaume.
Ikiwa Mwanamke anataka muwe pamoja atakurahisishia mazingira na ikiwa hataki uwe mwenza wake atakuwa haeleweki tabia zake.
haya yapo ndani ya kitabu cha JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI.
#Spirit_Warrior
#Wounded_Healer
🤺🤺
Kama tatizo lako ni kubwa zaidi tunaweza kuwasiliana kwa ajili ya Counselling session na ufafanuzi wa kilichoandikwa hapo juu na utaona mabadiliko na kujisikia nafuu ndani ya muda mfupi baada ya mazungumzo.(Counseling kwa njia ya simu gharama Tshs 30000 , kuonana uso kwa uso Tshs 40000
Kwa wapenzi wa kusoma vitabu unaweza kupata nakala zangu orodha ipo chini 👇
Kupata kitabu cha
1.JINSI YA KUPONA MAUMIVU MAKALI SANA MOYONI - (Softcopy Tsh 30000)
2.UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU (Softcopy)
3.FIKRA ZAKO FURAHA YAKO (softcopy)
4.TIBA YA MSONGO WA MAWAZO (by & Softcopy)
5.MALEZI YA UBONGO KISAYANSI( hardcopy & softcopy)
6.TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA (Hardcopy & softcopy)
7.MISINGI 10 YA FURAHA SIKU ZOTE (hardcopy &softcopy)
8.BADILI FIKRA ZAKO BADILI MAISHA YAKO
BEI Kitabu kimoja softcopy 5000 isipokuwa kitabu namba 1 bei yake ni Tsh 30000, hardcopy moja 10000
Mawasiliano
+255766862579
+255622414991
Imeandikwa na Psychologist
Said Kasege
Temeke,Dar es salaam