Mambo 5 yatakayokufanya ufe maskini

Basi kama ni hivi walinzi wa mageti wanaokesha usiku kucha wangekuwa matajiri!!

Dah , mtafika Mbinguni mmechoka sana πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbona unajichanganya? Namba moja ndio umeandika nini? Hii si ndio dalili ya umaskini ulionao mtoa mada?
 
Mbona unajichanganya? Namba moja ndio umeandika nini? Hii si ndio dalili ya umaskini ulionao mtoa mada?
Hawa waandishi wa mitandao wanashida sana ukute hapo hata kula milo mitatu kwake ni shida halafu mtu huyu huyu ndio anakuwa frontline kuwafundisha wengine mbinu za kufanikiwa ilihali yeye mbinu hizo hizo zimeshindwa kumtoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…