Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Nimewahi kuishi hapo nyarugusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!

12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!

13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.

14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k

15.
Siyo waoga katika kudai haki zao.

16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.

Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.

Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
 
konda wa daladala kama hana chenchi anakurudishia hela yako uende bila matusi wala kashfa...konda akiita mtu mara moja harudii na mara nyingine anamuomba abiria siti hasa hasa ikiwa jioni kachoka,konda anakaa abiria anasimama
 
Ustaarabu ulianzia pwani? Labda Usta-waarabu
 
Yote hayo yapo katika wao.kukulia katika dini. Dini ya islam ndio 99% sasa hayo mambo ya mtu kujikweza tajiri anaona haya maisha ya dunia tu leo upo juu kesho udongon.kutoa salam ndan ya gari wao wanafata taratibu za uislamu
1.aliye kwenye kipando anasalimia walio kwa mguu.
2.aliyesimama anasalimia waliokaa.
3.wanaopishana ni hiari kwa mmoja wao kuanza kusalimia.
Kinaa (kuridhika) kwa mioyo yao ndio kunafanya watu waone visiwan maisha yao simple ila ni kukinai tu.dini ikiingia sana miashan mwa watu ndio utaona hata anakushangaa unaenda kutwa na njia kulimbikiza mali ili hali ukisikia njaa wala huwez kula kilo tano ispokuwa sahan moja tu.majumba 200 lakn unalala chumba kimoja katika jumba tena upenuni.
 
nilishangaa sana hili, yaani kule kusikia kalawiti/kalawitiwa ni jambo la kawaida sana/mno na ni kesi ya kawaida sana, yaani sana,

tena jambo linamalizwa juu kwa juu, huku bara mlawiti nondo 30 zinamhusu fasta fasta
Wazenji wengi wanafahamiana...ni km ndugu wamoja ndio maanampk wanapelekana Polisi ujue wao polisi ndio wamegundua au hao watu wamekorofishana mambo mengi yanaishia kwa sheha na sio vyombo vya dola
 
nilishangaa sana hili, yaani kule kusikia kalawiti/kalawitiwa ni jambo la kawaida sana/mno na ni kesi ya kawaida sana, yaani sana,

tena jambo linamalizwa juu kwa juu, huku bara mlawiti nondo 30 zinamhusu fasta fasta
SASA HUKO ZENJI SINDO DINI IMESHIKA HUKO VIP WANAFANYA UPUUUZI KAMA HUO MANA MAMBO HAYO NILITARAJIA SANA BARA SABABU HATUISH SANA KWNY MIFUMO YA DINI....
 
NIMEPENDA ANALYSIS YAKO INGAWAJE KUNA MAMBO HAYAPO SAWA

Mfano:- Kuhusu wabongo wanaofanya kazi hotelin wanajiuza sidhan kama ni kwel hii!!
Ni kweli mkuu wanawake kutoka Tanganyika walioko Zanzibar %99 wanajiuza na kwa Zanzibar wanawake wasoko sana tofauti na uku bara" wanawake walichoka na kuzalishwa wengi wao ukimbilia Zenji kwasababu kuna fursa wakiwa Zanzibar wanalipiwa kodi na wanaendeshwa na magari wana pewa pesa nyingi ambazo uku bara hawezi kupewa mpaka anakufa, yani utakuta demu kazalishwa bongo kachoka lakini akienda zenji ana bebwa na gari, sisi wabongo wenzao hawa tutaki wao wanawataka wazanzibari tu.
 
Wazanzibari hawana makelele utakuta Mitaa yao kama za Mazense, Mwananyamala, keko, lakini mtaani kumetulia ukikuta nyumba inapiga muziki na mikelele ujue wanaishi humo ni watanganyika.
 
Mkuu hii ripoti yako ni kubwaa sanaa ume angalizia mambo yoteee ktk nyanja za kijamii, kiuchumi , n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…