Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,198
I will be short
1. Yanga amna kocha
2 . Conte wenge nyingi sana anaitaji game time
3. Ecu sio mchezaji mzuri ni mchezaji machachali
4. jezi ni mbaya may be za mazoezi
5 . Pacome ni mtu hatari sana sana
6 . Bonyeli ni bonge Kama foward la Simba lile nene Kama tofari
7 . Chikola na wengine wana hitaji coaching nzuri sana
8. Team yanga wanayo nzuri sana . Sema kocha amna .
9 . Kuoma mmmh tumpe muda .
10. Mechi ilikuwa imepoa sana sana . Yani yanga wamecheza vibaya . I hope wata improve kidogo sana . Ila mechi ya Simba na yanga . Yanga anakufa . Unless huyu kocha abadilike