Habari zenu wadau wa jamvi hili?Hopefully mko yechu. Kuna mamiloo bhana tulikutana Instargram tukayajenga mapendo Catholic hakuruka swagiree za mjuba akajaa.
Sasa Leo nimemtumia Elfu30 ya nauli kutoka Dasilade/Dar Es Salaam atimbe uku Gachuland kwa Waenduru wa Ngarenaro Republic..Japo unajua mapenzi na nime'enjoy kinyama,ila sema nini.
Mwanaisha nimekutumia 30,000 nauli utoke Darisalade/Dar uje Arusha na umetimba ndani ya masaa bee(Mawili)tu sijapendezwa na hiyo speed.Yako ya super sonic tapeli mkubwa wewe!
@NgarenaroBoy.
Wanasemaga kula uliwe hapo arawa ushaliwaHabari zenu wadau wa jamvi hili?Hopefully mko yechu. Kuna mamiloo bhana tulikutana Instargram tukayajenga mapendo Catholic hakuruka swagiree za mjuba akajaa.
Sasa Leo nimemtumia Elfu30 ya nauli kutoka Dasilade/Dar Es Salaam atimbe uku Gachuland kwa Waenduru wa Ngarenaro Republic..Japo unajua mapenzi na nime'enjoy kinyama,ila sema nini.
Mwanaisha nimekutumia 30,000 nauli utoke Darisalade/Dar uje Arusha na umetimba ndani ya masaa bee(Mawili)tu sijapendezwa na hiyo speed.Yako ya super sonic tapeli mkubwa wewe!
@NgarenaroBoy.
Ukiona watu hawa'reply hivi ujue wameenda Kurisiti mtihani wa darasa la Saba.
.Sasa kama unaongea hivi unategemea nini kwa mwanaisha?