Mamanitilie Na nyie andamanene ili Bashite Afungie Ma Restaurant ya Kitalii

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Nyie Mama ntilie Mnazubaa tu, Wenzenu akina Ray JB na Wolper aka (namspere) wameandamanishwa na Bashite kisha akapiga marufuku (huwa anatumwa) senema ambazo hawasemi Kiswahili.

" Wanazunguza Engilish, wakati ambao vyeti vina utata tunataka Kupiga kazi kwa kiswahiri. Upuuzi gani huu! Fungiria Mbari Rambo na Shoziniga!"

"Ehe ehe ati Hero, hero, ati mtu unarukaruka misituni na unaongea Engilisi uwe hiro nchini kwangu? Not to that extent! Not me never"

Anyway Mama ntilie na Nyie andamaneni Msizubae, McDonalds Wafungiwe, Chinese chiken na akina Budger King. Na wachoma chips msilemae Bongo first, Bongo first!

Ehe he tulivyoambiwa kusoma number nilidhani ni Number one kumbe ni 666
 
Na shule za serikali dar ziandamane shule za binafsi hasa english medium zifungiwe zinasababisha matokeo mabovu kwa shule za serikali kiasi cha kuwa shule bashite zaidi tanzania.
 
Back
Top Bottom