Mama yetu anang'aa na kupendeza

Lazima ang'ae anapigwa na kiyoyozi!..
Kabisa, kiyoyozi ndio maana na mikono yao inakuwa laini kama ya watoto. Ila ni lazima wawe katika mazingira mazuri maana kuongoza nchi si mchezo. Si uhuwa unamsikia mkuu anatamani amalize hata kesho, yule mtaafu naye alishukuru sana kumaliza mda wake.
 
Sio kweli
 
Lazima angae maana ameshatoka mara kadha kwenda kwa wadhungu.
 
Na anajitahid kuongoza nchi. Hana chuki, jazba na matamshi mabovu yanayolenga kuibomoa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…