Sio tubia tu ht vi2 vingine vimepanda kinoma, wanatafuta tuhela twa kuwalipa madokta.
POPOBAWA.
Wewe unafikiri ni ulevi. Bia ndiyo inalipa kodi kwa ujenzi wa barabara, hospitali na mambo kibao. sasa wewe unatukana mkunga!
mbona mnaheshimiwa sana na kila mtu, ila sasa badili matumizi ndugu yangu, pombe zenyewe hizo nazo madhara ya vipi unayajua???nadhani ulikuwepo kwenye akili yangu.
Kifupi sisi ndio tunao-run uchumi wa nchi, na ndio walipakodi wakubwa.
Naomba tuheshimiwe tafadhali...
mbona mnaheshimiwa sana na kila mtu, ila sasa badili matumizi ndugu yangu, pombe zenyewe hizo nazo madhara ya vipi unayajua???
Muda wa kunywa togwa umewadia.
nimeona bei ya Chibuku ni reasonable, Sh.T 1000/Litre. Tena haina masharti kama bia, eti mpaka uwe umeshiba,
yenyewe tu chakula.
Taarifa zilizopo kwenye deports/wakala wa bia zinaonesha kuwa kale kabia nako kameshapanda bei tena kwa asilimia 12.5.
Ila kwa hii asilimia inabidi wanyaji tuanzishe chama cha kutetea wanyaji Tanznia (CHAKUWATA) (mithili ya sumatra au ...... ). Na kisajiliwe na serikali.
zOTE NAZIPENDA ILA MDOMO KUNUKA. HALAFU HUCHUKUI DEMU.
No wonder jana nimeona bar nzima watu wanakunywa Banana! nilijuliza kulikoni, maana hadi wahudumu walishangaa kila anayekuja anaagiza banana wine, kumbe ni 12.5%