mutu ya watu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2010 Posts 213 Reaction score 41 Jul 22, 2013 #21 sasa kama huyo rafiki yako kachukua babu umri umemzidi si bora mama kamnyang'anya maana angalau wataendana umri ingawaje bado ataitwa babu hata na mama yake maana ni babu wa kutisha jamani tafuta saizi yako! vip
sasa kama huyo rafiki yako kachukua babu umri umemzidi si bora mama kamnyang'anya maana angalau wataendana umri ingawaje bado ataitwa babu hata na mama yake maana ni babu wa kutisha jamani tafuta saizi yako! vip
CHAMVIGA JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 7,687 Reaction score 2,240 Jul 22, 2013 #22 Dah kweli wewe si ndio mama mtu?
M Marnah JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 1,124 Reaction score 303 Jul 22, 2013 #23 Maelezo yenyewe hayaeleweki
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Jul 22, 2013 #24 stata mzuka said: Kabisa angetaja na la mama kabisa. Click to expand... mama Jane......
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Jul 22, 2013 #25 Marnah said: Maelezo yenyewe hayaeleweki Click to expand... inabidi kusoma x3 3 ili kumuelewa
Ficus JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,438 Reaction score 1,124 Jul 22, 2013 #26 asakuta same said: wewe una umri gani? , wakati ujao jatahidi kuweka mwandiko mzuri. jane ana umri gani? na anafanya kazi gani? mika ana umri gani? na anafanya kazi gani? mama jane ana umri gani? Click to expand... Una maswali mengi, kwani wewe ni polisi?
asakuta same said: wewe una umri gani? , wakati ujao jatahidi kuweka mwandiko mzuri. jane ana umri gani? na anafanya kazi gani? mika ana umri gani? na anafanya kazi gani? mama jane ana umri gani? Click to expand... Una maswali mengi, kwani wewe ni polisi?
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,041 Jul 22, 2013 #27 Ficus said: Una maswali mengi, kwani wewe ni polisi? Click to expand... kujiridhisha ni muhimu sana kabla ya kumshauri mtu ,,,,, usikuta tunadeal na hawa watoto wa kizazi cha Division zero
Ficus said: Una maswali mengi, kwani wewe ni polisi? Click to expand... kujiridhisha ni muhimu sana kabla ya kumshauri mtu ,,,,, usikuta tunadeal na hawa watoto wa kizazi cha Division zero