Mama Tiba bwana !

Sasa hivi kidume yoyote wa jimboni kwake akimuomba papuch anampa fasta ili awe nao karibu.
 
Kama kweli hayo ni makazi ya watu... Tanzania hii... basi sina la kusema.
 
Utashangaa hapa kwa maisha haya huyu Mama na Mumewe wataipigia kura CCM. Hapa Mama T anatafuta kura za walalahoi ili aendelee kukaa madarakani tena. CCM jamani wana dhambi kweli.
 
huyu mama hamnazo kabisa akitoka hapo anawaachia elfu 3 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…