Kweli kabisaKuna watu wanaishi nyumba kama hizo!
Mungu tusaidie
Kweli kabisa
Inasikitisha sanaYaani huyo mama kavuta bilioni na point kadhaa halafu anaenda kukaa na mwenye nyumba hiyo kwa ajili ya kurudisha uhusiano wa kura,aisee usanii mwingi
duh madaraka matamu jamani
hiyo siyo utamu wa madaraka. hizo ni dalili za frustrations. madhara ya kuwa na pesa nyingi na isiyo ya halali
Ni dalili za kuchanganyikiwa
Jamani mama tulia mbona unapenda kujichoresha????? Mbona umeshakula vya kutosha ????? Hauridhiki bado????? Kwani hao wasio na nyumba hukuwaona wakati upo kazini ukiwa WAZIRI ????? Yaani watembeleeee haohao mazuzu wenzako ila ukija kwetu unatoka na mangeu au manundu ndugu yangu mama ulio kosa SONI

Unamuita mwanamke bwana au wewe ndio issa ramadhani ?