KAMA HII NI NYOMI, DUH BASI CCM MWAKA HUU KWELI MTAISOMA NAMBA, IVI AMEELEZWA ARUMERU INA WAKAZI KIASI GANI,,,, POLENI SANA MAccm KWANI HIYO NI PUNGUFU KWA WAMAMA WA VIKOBA WAKIKUTANA
Mkuu hata Kama ni watu ambao hukubaliani na misimamo yao....lakini lugha chafu si sehemu ya mazungumzo ya waungwana.....tujitahidi kuonyesha kwanini UKAWA tunastahili kupewa nchi...