Na bado magufuri hajapita huko,huyo ni mgombea mwenza tu,bado kina kibajaji,nape,nyerere na wengine ambao nao wanashambulia kungine,mwaka huu hamtajua goli limeingiaje,ni mashambulizi ya kufa mtu kila upande nyie endeleeni kuzurura masokoni na kwenye daladala za darSasa picha mbona unarudiarudia hapo khaaa sijaona mafurikooo arushaaaaaaaaa wanasubir ukawaaaaaa
Arusha CCM Ni Chama Cha Upinzani Na Ilishakufa Siku Nyingi
Sasa picha mbona unarudiarudia hapo khaaa sijaona mafurikooo arushaaaaaaaaa wanasubir ukawaaaaaa
CCM Hapa Arusha Ni Marehemu Wa Siku Nyingi Zilizopita,
Usijitekenye Mwenyewe Na Kucheka!
Mgombea Wake CCM ni Wakala Wetu UKAWA sasa.......