The the the mimi is wife of rais in Tanzania
Huyo Chantal Biya ni shangingi mfano hakuna! ana vituko sana hasa kwenye mavazi..ni kama Imelda Marcos wa Africa! itakua wanamkoma sana huko kwao! Mama Kikwete ametokelezea sana!
The the the mimi is wife of rais in Tanzania
Kwani Dr.Slaa na Josephine wamepishana miaka mingapi ebu piga hesabu tuone kama ulivyopiga hizo hesabu zako.Kidogo ilinishangaza; Biya mwenyewe kibabu cha mwaka 1933 (aged 81) na huyo mkewe born 1971 (42) exactly mara mbili ya umri wa mumewe. Kweli wakubwa Afrika wana vituko. Yale yale ya Mugabe na Grace.
Kwani rais wa Tanzania ni nani?
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Cameroon Mama Chantal Biya muda mfupi kabla ya kushiriki kwenye chakula cha mchana walichoandaliwa na wenza wa mabalozi wa nchi za Afrika wanaowakilisha nchi zao huko Ubelgiji kwenye hoteli ya Sheraton tarehe 2.4.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika pamoja wa wenza wa Mabalozi wa nchi hizo mara baada ya kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na wenza hao tarehe 2.4.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI.
.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea cheti maalum cha ulezi wa heshima wa Chama cha wenza wa mabalozi wa nchi za Afrika walioko nchini Ubelgiji (Honory Patronese of the Association of the Spouses of African Ambassadors in Belgium) kutoka kwa Mke wa Balozi wa Cameroon nchini Ubelgiji Mama Christiane Eloundov de Evina wakati wa chakula cha mchana walichowaandalia wake wa Marais wa Afrika jijini Brussels tarehe 2.4.2014.
Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mama Adelaida Kamala akimkabidhi Cheti Maalum cha ulezi wa heshima cha wenza wa mabalozi wa Afrika walioko Ubelgiji, Mke wa Rais wa Cameroon Mama Chantal Biya wakati wa chakula cha mchana walichowaandalia wageni hao kwenye hoteli ya Sheraton tarehe 2.4.2014.
huyu ni hawara wa kikwete tu,mke wa kwanza ni wa mama rizt 1 toka ukoo wa sabuni kule usangi,anatumbua tu fedha za uwt
jamani jamani soma vizuri maelezo ndugu,huyu siyo mke wa cameroon ni mke wa raisi wa inchi ya cameroon,nawala huyu raisi wa inchi ya cameroon hashawishi ushoga!Kumbe kameroon ana mke harafu anahamashisha Ushoga!!
Kwa akina mama hawa hawapingi ushoga???
Kwani Dr.Slaa na Josephine wamepishana miaka mingapi ebu piga hesabu tuone kama ulivyopiga hizo hesabu zako.