Mama Regina Lowassa

heebu tuonesheni na picha za zamani akiwa sokoni na kuchagua bidhaa....au ndio anatafuta kura za mumewe??
 
Kipindi cha kampeni wanapanda daladala,kipindi cha kampeni wanaenda gengeni

Na Hizo DalaDala Wakipanda wanapigwa picha. Pia wakienda kwenye magenge ya kawaida wanapigwa picha. Maana wanaonekana kabisa hizo ni PROPAGANDA - Hayo sio maeneo yao.
 

Huyo wa Magufuli naona ana hasira maana uwaziri tu amehonga hawala nyumba ya serikali je akiwa Rais si ndio haki za ndoa zitapotea kabisa
 
Kweli siasa zinawapa UPOFU! Humjui halafu unasema First Lady wa ukweli...!

The impression aliyoiona for the first time inatosha cv nikutaka kukazia tu wangapi wanajudge watu kwa kuwaona tu mbona amna dogo kujikuta mnaweza kudadisi mambo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…