Mama pinda awashtukia akina masaburi

Mama pinda awashtukia akina masaburi

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Neno "ningejua" siku zote huja mwisho wa safari katika kipindi cha majuto kwani walisema majuto ni mjukuu.

Nayasema hayo kutokana na hali ya majuto aliyonayo mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda ambaye anajuta kuwasikiliza Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi pamoja na mkewe Janet Masaburi waliomshinikiza mumewe Waziri mkuu, Mizengo Pinda agombee urais kumbe walikuwa na malengo na maslahi yao binafsi.

Mama Pinda aliyafunguka waziwazi kwenye msiba wa Baba yake ambapo aliwaeleza marafiki zake (Mama Pinda) wa karibu sana kuwa aliingizwa mjini shule kwa kusikiliza ushauri wa Masaburi wa kumtaka Waziri mkuu Pinda agombee urais ili wajinufaishe na pesa za bure bure wakati wakijua fika Waziri mkuu Pinda hawezi kuwa Rais wa nchi.

Mama Pinda aliwaeleza marafiki zake hao kuwa mara baada ya kuwakubalia na kuanza kuwapatia pesa hawakuwa wakizitumia kwa ajili ya kampeni bali waliishia kujitajirisha huku wakijipigia kampeni wao wenyewe kwenye nafasi wanazo zitarajia kutanga nia na kugombea.

Mama Pinda alibainisha jinsi alivyoingizwa mkenge huo ambao umepelekea mpaka Mama Masaburi kujenga nyumba ya kifahari huko Tabata kinyerezi.

"Huyo Janet (Mama Masaburi) amekarabati nyumba yake ya kifahari huko kinyerezi kwa hela za mume wangu za kampeni" alisema Mama Pinda mbele ya mashosti zake hao pale msibani.

Mpaka dakika hii ninavyoandika uzi huu Mama Pinda alihaidi kwenda kumshauri mumewe waziri mkuu Pinda kuachana na mpango wa kumtumia Masaburi kama kampeni meneja wa urais wa mumewe na akishindwa kufanya hivyo basi aachane kabisa na nia yake ya kutaka kumrithi Rais Kikwete pale ikulu mwaka huu.

Mashosti hao walimweleza Mama Pinda juu ya tambo za Mama Masaburi juu ya maisha mazuri waliyonayo sasa kipindi ambacho wao ndio makampeni meneja wa Pinda.

Ikumbukwe ya kuwa Pinda amekuwa akimpa Masaburi kiasi cha Tsh. milioni mia tano kwa mwezi kwa ajili ya kumfanyia kampeni za urais, pesa ambazo zimeishia mifukoni mwa wajanja hao akina Masaburi walioamua kujitajirisha na kujifanyia kampeni zao binafsi.

Kweli mjini shule na siku zote wajinga ndio waliwao.
 
​Yaani wwe kila thread unazoleta ni za kinafiki.........Rais angekuwa ameshasaini cyber crime law sijui ingekuwaje juu yako
 
Ni kweli na mama aliapa mzee angekuwepo nchini angemshauri aachane na siasa
 
Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau

Hello CAG
It is my hope that you are doing fine and I am also terrific. It is great honour for us and for our nation in general to have you in that office.
CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, In fact I underline the concept of Good Governance and it is my prayers to All Mighty God to give me Good Governance-GC life. It has come to my attention to share with you my feelings because I know you are public eye to oversee public affairs and also the Good Governance as well.CAG I wish to share with you in person and your office too my observation as of TANAPA staff regarding your staff-external auditors who have been assigned to audit our affairs annually. Let me itemize them below as follows;-
  1. They have been failing to query pertinent issues regarding Good Governance e.g. various Parliamentary Committees (Mazingira na Mahesabu ya Umma) their normal duties on various occasion are paid a lot by TANAPA both in subsistence and accommodation and nowhere I had seen your staff question, ‘our management call it lobbing issues in political arena’.
  2. Your staff’s independence have been impaired a lot here at our organization as gifts given to them amount to impair their recommendation and conclusion. For instance, they are paid for their accommodation in expensive hotel in Arusha(I can send you evidences),they given trips to different Nations like Rwanda, South Africa, Kenya and Uganda the reasons being to visit some Countries’ Parks so that can advise us adequately. My 1[SUP]st[/SUP] question is if this is ok why, they didn’t involve Internal Audit which is key organ for advising Management? 2[SUP]nd[/SUP] question is why were they paid allowances yet their costs of travel and stay in there were full covered if not to induce them (Shamimu, Wangwe and Karia-and I can give more evidence)? 3[SUP]rd[/SUP] question why your staff are paid substance allowances at the higher rates of ours by our organization if not inducement? I know we pay audit fees for the statutory audit you do and this fees constitute all costs we pay your staff.I know for sure that internal will never buy they idea it is even had for Management to persuade them.
Just to tip you, before they were paid accept payments by signing them in their signatures but the moment they noted internal system is questioning they don’t sign nowadays and this include Parliamentary Committees. One ways that Management do pay them is to find fictitious receipts and cash them through that way. Please take it serious, and may offer any cooperation of further evidences that may be required from this side and my wish is to get rid of this behaviour and change to professional one.Thanks RegardTANAPA STAFF
 
hata arobaini bado kupita! mwache mama pinda amalize msiba kwanza, muwe na roho ya utu!
 
Back
Top Bottom