Mama nimepata mchumba; ''anafanya kazi gani''?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Mama nimepata mchumba,

Mama anajibu: anafanya kazi gani?

Je kazi ndio kigezo cha kuchagua mchumba?
 
Utaoa na huna kipato cha kueleweka mzazi lazima ajiridhishe kama mwanae yuko sehemu salama
 
Linasaidia kwa kuwa siku hizi Mume na mke (hata wachumba kama hamjaona) inabidi wawe wachakarikaji sio mmoja kukaa nyumbani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…