Mama nimepata mchumba; ''anafanya kazi gani''?

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Mama nimepata mchumba,

Mama anajibu: anafanya kazi gani?

Je kazi ndio kigezo cha kuchagua mchumba?
 
Utaoa na huna kipato cha kueleweka mzazi lazima ajiridhishe kama mwanae yuko sehemu salama
 
Ni muhimu kujua kazi anayofanya. Kazi zingine mmmmh

104fac879dd841f9d19179267b7c9f54.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom