Mama ni Mama tu

Lazia Sultan

Senior Member
Joined
Jun 4, 2020
Posts
120
Reaction score
329
Nikikutana na situation Kama hii, ni Mama Kwanza.


1. Boss ni mlugaluga hata elimu nimemzidi.
2. Baba ameparalaizi, mgonjwa. Data zake zote nazipata kwa mama
3. Mpenzi siyo ndugu yangu, hana uchungu na mimi. Ni ndugu wa mkataba.
 
Kwahiyo kama wewe ni mwanaume ndo unataka upendwe na wanao??

Mwanaume hapendwi mwanaume anaheshimiwa tu inatosha unazeeka zako vizuri kwa amani.

Mwanaume ukitaka kuanza kupendwa utaishi kwa maumivu sana
Haswa!
Wengi hawalijui hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…