Mama na mwanae

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achen mwanamke aitwe mwanamke.

Hapo demu angempa mtoto pombe akalala zake huyoo .
 
Kukaa na mtoto muda wote ni raha sana ila akikata gogo dahhh mama yake atatafutwa sana tu
 
Mmh. Hiyo picha ya mwisho bana babu.

Nipe kiswahili fasaha basi babu sababu nimeshindwa niandikeje.
Mi hata sijaelewa kinachoendelea hapo... sijui nikusaidie nini wallah
 
Teh teh teh hata mimi baba inanitokea sa namtorika mtoto wangu niende kwa *****.
 
Mama na mwana ni DIVINE LOVE!
UPENDO WA AGAPE!
 
Dah, Mwananchi mmoja wapo yeye ilikua Ile mida ya kulala lazima azingue, Yaani Hataki kabisa Ukae, anataka umweke begani usimame yeye alale wewe usimame!!

Mama mtu nae kachoka anakwambia Hebu mchukue na wewe, unabembeleza weee unajua amelala tayari, unamlia timing mdogo mdogo unamweka kitandani hapo ni saa nane Usiku, ile akigusa shuka tu, Bonge la kilio tena, Dah! Unaamka unaanza kubembelezana tena!! Duh asubuhi Unaondoka kwenda kwenye mihangaiko dogo yeye anakoroma tu!!! Mkeo anakua kama Dada yako, utamgusa saa ngapi wakati dogo analia? Aiseeee
 
Hapana
mama sio 1st selection. Change your attitude towards it.
Nisikufiche, siwezi.

Mfano hata namna ninavyomnawisha mtoto aliyekata gogo ni kuandaa maji yenye sabuni kwenye besenI na kumnawisha na kumuogesha kisha kumsuuza wakati mama yake atamsimamisha kwenye beseni au ndoo na kumnawisha.

Hua najifunza mida ya mtoto kukata gogo na attitude yake kabla ya kukata gogo ili nijue mida ya kumuacha kwa mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…