Mama mmoja mswahili na
mwanawe wa miaka 5
walikuwa ndani ya taxi
usiku wakapitishwa mitaa
ambayo kuna wanawake
wanajiuza:-
MTOTO:"Mama hao watu
waliosimama kando ya
barabara wanafanya nini?"
MAMA:"Wanasubiri
wanaume zao watoke
kazini waje kuwachua warudi nao nyumbani."
TAXI
DRIVER:"Aaaah mama
acha uwongo mwambie
mtoto ukweli...hao ni
malaya na hapo walipo
wanasubiri wanaume wafanye sex nao kwa malipo!"
MTOTO:"Mama na watoto
wanaozaliwa na hawa
wanawake hufanya nini?"
MAMA:"Wanakuwa
madereva wa taxi!"