CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:
kuna mtu alisema kati ya anayekubeba mgongoni na anayekubeba kifuani nani mkali, lakini ukweli unabaki palepale mke unaweza kubadili ukaoa mwingine lakini mama huwezi pata mwingine popote. Kila mmoja ana nafasi yake:der:CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba: