Mama Mzee Asimulia Kisa Cha Kweli "Kizuri"

Mama Mzee Asimulia Kisa Cha Kweli "Kizuri"

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,702
Asema: Nilikua Na Watoto Watatu Na Wote Wameoa.. Basi Siku Moja Nikamzuru Yule Mkubwa Na Nikataka Nilale Kwake, ilipofika Asubuhi Nikamwambia Mke Wake Anipe Maji Ya kutawadhia.

Nikatawadha Vizuri Nikasali Kisha Yale Maji Yaliobakia Nikayamwaga Katika Kitanda Nilicholala.

Mke Wa mtoto Wangu Aliponiletea Chai ya Asubuhi Nikamwambia Ewe Mwanangu Hii Ndio Hali Ya Watu Wazima Nimekojoa Kitandani, Mke Akakasirika Na kunifyokea Na Kunitolea Maneno Mabaya Kisha Akaniambia Nioshe mashuka Niyakaushe Na Nisirudie Tena Kufanya Hivyo.

Bibi Asema: Nikajifanya Naficha Hasira Zangu Nikaosha Tandiko Na kuikausha.

Kisha Nikaenda Kulala Kwa Mwanangu Wa pili Nikafanya vile vile, Mke Wake Akaja juu Na kupiga Kelele Na kumueleza Mume wake Ambaye ni mwanangu Na hakumkemea.

Nikatoka kwao Nikaenda kwa Mwanangu Mdogo. Huko Nako Nikafanya vile vile Mke wake Aliponiletea Chai ya Asubuhi Nikamweleza kwamba Nimekojoa Kitandani... Akasema: Usijali Mama... Hii Ndio Hali Ya Watu wazima.

Mara Ngapi Sisi Tulikojolea Nguo Zenu Tukiwa watoto. Kisha Akachukua Zile Nguo Na Kuziosha Na Kuzisafisha.

Nikamwambia.Ewe Mwanangu Mimi Nina Rafiki Amenipa Pesa Nimnunulie Mapambo Ya wanawake Na sijui Kimo Chake Lakini Anamwili kama Wako.

Nipe kipimo Cha mkono wako.. Bibi Akaenda Sokoni Na kununua Dhahabu Kwa Mali Yake Yote.

Na Bibi Alikua Na mali Nyingi... Kisha Akawaita watoto wake watatu Pamoja Na wake Zao Nyumbani Kwake Kisha Akatoa Zile dhahabu Na yale Mapambo.

Akawasimulia Kua Yeye Ndie Aliemwaga Maji Kitandani Na haikuwa Mikojo. Kisha zile Dhahabu Akaziweka Mkononi Mwa Mke Wa Mtoto Wake Mdogo Na Akasema Huyu Ndie Binti Yangu Ambao Nitaenda Kwake Nikiwa Mkongwe.

Na Ambaye nitamaliza Kwake Umri wangu Uliobakia. Wale wake wawili wakapigwa na Butwaa Wakajuta Majuto makubwa..

"Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani?"

Ukifurahishwa Na hiki kisa Comment Kwa Kumsalia Mtume

Huenda Allah Akaturehemu Na kuwarehemu Wazazi Wetu Na kutufufua Pamoja Na Manabii Mashahidi Na watu Wema Na Ni Uzuri Ulioje Kua Pamoja Na watu Hao.
 
Hako kamtego ka majaribu kanaweza kunasa wanawake wengi sana wa humu jf,
isipokuwa wa nyumbani manengelo ambaye comments zake nyingi zinaonesha ukamilifu wake.
 
Hivi story vya kutunga ambavo halina uhalisia vimekuwa vingi jf
 
Hivi story vya kutunga ambavo halina uhalisia vimekuwa vingi jf
. Ni vistori vya kutunga, lakini vyenye mafundisho makubwa ya maisha. Vijana wa Leo ni vema mkatumia japo 1% ya muda wenu kwenye internet kupata nasaha kama hizi. Huwapa uwezo wa kuchanganua mambo ya maisha ya kila siku.
 
Maisha ya mama MKWE na mka means ni uhasama mtupu ni wachache sana wakarimu !
 
Tumsalieje mtume sasa sema haraka
Tumsalie mtume huko alipo Mungu ampunguzie adhabu kwa kosa lake la kumtumikia shetani allah bila Kujua na kupelekea kuelekezwa motoni huku allah akichekelea..

Uf 20:10
 
Tumsalie mtume huko alipo Mungu ampunguzie adhabu kwa kosa lake la kumtumikia shetani allah bila Kujua na kupelekea kuelekezwa motoni huku allah akichekelea..

Uf 20:10
Aiseeee huu ugomvi
 
Tumsalie mtume huko alipo Mungu ampunguzie adhabu kwa kosa lake la kumtumikia shetani allah bila Kujua na kupelekea kuelekezwa motoni huku allah akichekelea..

Uf 20:10
Iaana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako jitahihidi hata kama hupendi kuheshimu iman za wengine
 
Iaana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako jitahihidi hata kama hupendi kuheshimu iman za wengine
Imani potofu siziheshimu! Nazipinga
Ninamkataa shetani na Mambo yake yote na dini yake pia!
 
Back
Top Bottom