Je, Mama mwenye ujauzito wa wiki 7 anaweza kusafiri KM 900 kwa basi/treni?

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
342
625
Mama mjamzito wa wiki 7 anaweza kusafiri kwenda Mbeya Inyala karibu km 900 kwa bus au treni?

Anatapika sana lakini amepewa metaclopamide imemsaidia kupungua kutapika ila tumbo linamkwangua sana kama akihisi njaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom