Aisee, mumewe alikuwa anawaprotect ndugu zake; kwa haswa ni yeye ndio alitakiwa amwambie mkewe kuwa ana mtoto mwingine.
Sometimes ni bora kuwa wazi kuliko kusema 'nimesamehe' wakati haujasamehe bado.
Haijalishi kama ndugu walikuwa wanajua au vipi, as long as umeshamsamehe; lea mtoto na maisha yaendelee. stop looking for matatizo pasipo kuwepo matatizo. Tatizo ni cheating ya mumeo, if you cant live with it, bora uchukue uamuzi mwingine kuliko kutafuta lawama kwa mama mkwe, sio mumeo huyo!