Mama Mkwe Jaman

Mama Mkwe Jaman

BANGULO

Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Napenda kujua nini hasa tatizo kwa Mabinti wa Siku hizi huwa hawawapendi Mama wa Mme wake, Nina Mfano hai mingi tu, Kijana unaishi vyema na upendo tu na ndugu zako huko especially Mama, Baba, Kaka na Dada zako, ila tatizo linakuja pale unakuja kuoa tatizo ndio ninaanza kwa Mkeo kuwachukia ndugu zako kwa kuwawekea makosa yasiyo yao ili tu mtofautiane katika familia yako, huku yeye ndugu zake akipaka asali kwa sifa na matendo mema.
Kwako ndugu yako akija kosa ila yeye atakujazia Wadogo zake Lundo kweli jaman ndio haki hii ya Ndoa hizi za digital? Kama umempenda Mme Mpende na Ndugu zake na Sio kuwachonganisha.
80% wanashindwa kuwasomesha ndugu zake ila yupo radhi kusomesha shemejiiiiiiiiii

Ni Mtazamo wangu wapendwa
 
Tena atawavuruga ndugu zako mpaka shetani anastuka. Lengo ni kutafuta kuwa msemaji na mwamuzi mkuu wa familia....
 
Sijui kama ni mke au mume wakulaumiwa kwa hili
 
Yale maswali ya essay ulikuwa unayakimbia nn na matokeo yake ndio haya...unashindwa kuorgarnize ideas...sijakuelewa kabisa hapo
 
Wa kulizuia hilo ni mume,yeye anafahamu mema na madhaifu ya nduguze na anamfahamu mkewe tangu wakiwa wapenzi,atumie ufahamu huo kuziunganisha hizo pande mbili na kuhakikisha kila upande anaupa thamani stahiki!!
 
Ni mwanaume tu akikosa msimamo pale mnaowana ndo kila mmoja anamsoma mwenziwe na kujaribu tabia fulani ili asikilizie kama mme au mke anampenda mf cpend kukaa hp kwenu tuhame mara dd zk wanamaneno wkt co kweli huu muda ndo wa mwanaume kuwa na maamuz lzm mwanamke aheshimu familia yake
 
Nahisi nipo selfish, nikioa ndugu wakija wanakaa siku tatu na kusepa.
 
Wakwe midomo kwani Mapenz yenu wawili mkwe anadhan kdume wake anaonewa vle.mbona ding akja hom no problem hata akae mwez???mama zetu wengne Ni shida kla jambo anahis kdume wake kashikwa hatakama Ni Mapenz tu....lingne c unakuaje wote Ni wanawake Na matatzo Yao yapo waz!!!mama atahtaj Mapenz nakubembelezwa kutoka kwako Na mkeo atahitaj kubembelezwa Na Mapenz kutoka kwako.ndio maana baba yangu kwa mfano alipooa tu akamjengea mjengo mama yake(babuu Na Bb)ili wakae mbalimbali kla mtu ale maisha Na mwenzake kwa raha zao.
 
Back
Top Bottom